Kosa # 1. Sio kila linalosemwa na wengi lina ushahidi na hivyo ungetegemea kiongozi wa kitaifa kama Mbowe kulijuwa hili na kuwa makini.
Sioni haja ya Mbowe kuhojiwa kwa hili, ila kauli zake mara nyingi zinanifanya ni -question uwezo wake wa kuongoza Tz kama rais.
nakumbuka nilipokuwa darasa la kwanza, siku ya kwanza darasani, kuna dogo nilimsikia akimwambia mwenzake maneno kama hayo uliyosema ! kama utaelewa ninachomaanisha haya ~!
Sasa mbowe alichofanya ni kuchokonoa hili mwenye ukweli basi atwambie tu.
Hivi kuna ulazima wakupotosha jamii kwa kisingizio cha KUCHOKONOA? Mungu epushia mbali.
Sasa Mkuu si hao wenye ushahidi wawaambie watanzania?. Wakati mwingine maneno mengine yanasemwa baada ya wahusika kukaa kimya. Si unaona leo na mkapa agalau kanena? mangapi yameisha semwa?
Yote yanatokea kwa sababu viongozi hawataki kutoa majibu sahii pale wanapotakiwa kufanya hivyo. waliniambiwa JKT kuwa ukimuona mtu amekaa kimya hili kupata ukweli mchokonoe. Sasa mbowe alichofanya ni kuchokonoa hili mwenye ukweli basi atwambie tu.
Unaambiwa mbowe ameongoe ki JF JF huna haja ya kwenda mbali. Polisi hawana muda na mbowe kuna shughuli nyingi zinazomaliza taifa ambazo wanatakiwa washugulikie.
Mwambie fisadi mwenzako kada kuwa huoni sababu ya MBowe kuhojiwa maana inaonekana hamkujipanga vizuri kabla ya kuanzisha thread hii.
Hivi kuna ulazima wakupotosha jamii kwa kisingizio cha KUCHOKONOA? Mungu epushia mbali.
Duh, nimekuwa fisadi tena?....Mgaya kidogo nikuheshimu, kumbe mwenzangu uko kushindana hadi unaingia personal...powa mkuu...nido JF....hii ukishindwa kwa hoja go personal.
For your note, sina kundi lolote JF, nakosoa kila kundi as I see fit
Kakindomaster,
Watanzania sio wajinga hata siku moja, wakati Kikwete mambo yanamwia magumu wananchi wanaangalia the next move. Sasa kama Mbowe is next lazima awe anaongea mambo yanaoonyesha utashi wa uongozi ambao atakuanao pale atakapo chaguliwa.
Sasa kama leo hii Mbowe anasema kila kiongozi aliekufa kauliwa na viongozi hata pale madaktari wanapothibitisha vinginevyo na kama Mbowe kwa tamaa zake za uongozi yupo tayari kuubadirisha ukweli uliothibitika ni juu ya wananchi kuhoji suitability yake kama rais.
Sina visa na Mbowe, ila maoni yangu binafsi ni kwamba Zitto na yule dogo Mnyika wana nafasi kubwa ya kukifanya Chadema kuwa chama madhubuti...ungozi ni pamoja na kuchagua maneno na vyazo vya habari...jambo ambalo linamshinda Mbowe.....just my opinion
Hayo maswali kawaulize waliosikia Balali kafa wakapata kigugumizi siku tatu nne bila kuwaambia watanzani
Kwani wakati unaanzisha hii ulikuwa namaana gani?
gooooshhhhhhhh ! unamshushia hadhi huyu mwenyekiti ! kama anaongea hivi basi ile kofia anayovaa sidhani kama inamfaa !
gooooshhhhhhhh ! unamshushia hadhi huyu mwenyekiti ! kama anaongea hivi basi ile kofia anayovaa sidhani kama inamfaa !
sasa mbona ulianza kushambulia ili hali ulikuwa hujui maana ya hii thread ?
Ni katika kupinga ufisadi, uuliwaji wa mashahidi dhidi ya mafisadi ! naona tunaweza tukawa tunaongea lugha tofauti but still be for the same purpose !
sasa mbona ulianza kushambulia ili hali ulikuwa hujui maana ya hii thread ?
Ni katika kupinga ufisadi, uuliwaji wa mashahidi dhidi ya mafisadi ! naona tunaweza tukawa tunaongea lugha tofauti but still be for the same purpose !
Huyoo anakimbia ukweli wakati anajua kwamba tayari tulikuwa na thread inayozungumzia mbowe.
Mkuu umechoka kufikiri nini?
Utamweza huyo?
Angalia thread zote anazoanzisha karibuni, zote anazielekeza dhidi ya MBowe na hata signature inaonyesha kazi yake anayolipwa na mafisadi kuifanya hapa JF.
Basi ukisema hivyo CCM wataisha wote maana nasikia mkuu wa kitengo cha maadili yupo anahojiwa kwa vijisenti. na makamanda wote wa vijana.
Sasa kuongea ki-JF JF kwanza ni sifa kubwa sana