Jakamoyo msoga
Member
- Jul 18, 2019
- 76
- 304
I told them we are back
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SureTrue,they are back...I see comrades.
Kundenge alitaka amuue naye baada ya kuzongwa zongwa na Lodilofa kwamba anayofanya siyo sahihi onhoooo Ikala kwa Lodi Lofa kwamba ni heart attack Saa nyingine wanasiasa sijui Kama watapata cha kujibu huko mbinguni

Kinana anaitamani sana ikulu.
OhooKundenge alitaka amuue naye baada ya kuzongwa zongwa na Lodilofa kwamba anayofanya siyo sahihi onhoooo Ikala kwa Lodi Lofa kwamba ni heart attack Saa nyingine wanasiasa sijui Kama watapata cha kujibu huko mbinguni
Hii ya kumnyamazisha Lodilofa ni Karma kwa Lodilofa mwenyewe kwa yale aliyomfanyia Nyerere!! Lodilofa alitawala kwa raha baada ya absence ya Nyerere vivyo hivyo Magufuli aliamini absence ya Mkapa itamfanya atawale kwa raha hasa rejea yaliyotokea Dodoma kwenye CCM kuelekea uchaguzi mkuu.