Mwanzo baada ya mwenda zake kuzikwa ilikua hivyo, yaani the come back of "mtoto wa mjini" was real na alikua aki dictate terms. Hapa katikati sijui kimetokra nini! Ni kama ile influence yake kwa Malakia Mkuu imepungua
Nachokiona team Sato na Sangara kidogo kidogo wanajijenga. Mwanzo baada ya msibana zile siku 100 walifadhaika na kunywea. Lakini wakatafakari wakaona wasitumie nguvu sana bali ushawishi na wakti mwingine "ulozi" ili empire yao iliyojengwa na marehemu isifumuliwe
Bahati mbaya Malkia Mkuu anaelekea kuwasikiliza, na kiasi fulani kapunguza (au kashauriwa kupunguza kama sio kuacha kabisa) kuchukua ushauri wa Mtoto wa Mjini. Ni kosa kubwa sana kwa Malkia. Sato na sangara sio wakuwachekea. Muda utaamua