Inawezekana kumpenda bila kumwona,,mbona mi nampenda mmoja humu na hatufahamiani?
kwa taarifa yko, huyo binti hajakosea namba wala nini kama ukiona anakuganda.
hako ni kamchezo ambako kako sana tu,,hata wanaume huwa wanaucheza.
Kuna mdada mmoja nilikua nafanya nae kazi, alivyoenda kikazi mkoani kikazi, akampa shoga yake namba ya bosi wetu mzungu, yule shoga yake akajidai amekosea namba kwa kumtumia msg bosi wetu,,,yule bosi alimtongoza na sasa ni mme na mke.
wengine huwa wanabuni namba, ikitokea namba ni ya opposite site, ataanza kukufukunyua mpaka utajikuta unamwambia marrital stutas yko, na ukimwambia uko single, imekula kwako.
Pia inawezekana iyo namba amepewa na ndugu yako wa karibu, kifupi huyo sholi anakufahamu in details.