Kadco kugoma ijumaa hii

ndezi

Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6
Reaction score
0
Habari Zilizopatikana toka Kwa kachero wa JF ni kuwa wafanyakazi wa KADCO na KIA kwa Ujumla watagoma kuanzia Ijumaa Hii Kushinikiza Uongozi Kushughulikia kwa haraka malalamiko yao ya muda mrefu ya Mishahara, Posho na Maslahi mbalimbali ambayo uongozi umekuwa ukipuuza kuyafanyia kazi kwa kipindi kirefu sasa.

Wana JF mwenye Data zaidi Azirushe!!
 
Mbaya ni kuwa sasa hivi ni high season kwenye swala zima la utalii. kwahiyo ita-affect kwa kiwango kikubwa mapato ya serikali na wafanya biashara ya utalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…