Karikoo ni 18,000/= hapo hujalia shida
Hata mm ninazo za elfu 18, Ila grade ya chini kwa hii bossKarikoo ni 18,000/= hapo hujalia shida
Daah eeeh bhana nishawahi kununua kadeti ya elfu 19 ilikaa wiki mbili imepauka sanaKarikoo ni 18,000/= hapo hujalia shida
Utoto huuKarikoo ni 18,000/= hapo hujalia shida
Kwenye hizo suruali kuna alama inaonesha unapofua husianike kwenye jua kali.
Ukubwa ni upiUtoto huu