Kadhi couurt yaanza kuwasha moto kwenye katiba mpya ya kenya

Kadhi couurt yaanza kuwasha moto kwenye katiba mpya ya kenya

Mwenda_Pole

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2008
Posts
281
Reaction score
66
Tanzania tunajifunza nini kuhusu hili,
Nchini Kenya moto umeanza kuwaka juu ya aidha mahakama ya Kadhi( Kadhi court) iwepo kwenye katiba mpya ya kenya ama la, ni nafasi nzuri kwetu wa TZ kujifunza kutoka kwa hawa jamaa kwani hatuna tofauti, sababu kuu za wanazotoa ndugu zetu waislam za kutaka isiwepo na wale wanaopinga isiwepo kwenye katiba ni zile zile tu kama hapa kwetu.
check hapa

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=5udbx7eLS1s[/ame]
 
Back
Top Bottom