Mada mbili hizi zinajielekeza wazi nini kifanyike sasa kwa maslahi ya taifa:
#1: Mheshimiwa Majaliwa juzi alituhakikishia upo umeme wa kutosha:
#2: Tanesco leo wanatutaarifu kuwa umeme hautoshi:
Ya nini kumung'unya maneno?
Pana mtu hapa amejipambanua kuwa mwongo mzoefu. Haonyeshi hata kujutia anapodanganya hadharani.
Kwa kuyazingatia maadili ya uongozi, waongo wazoefu hawa akiwamo yeyote hapa na aelekezwe kuachia ngazi sasa.
Leo umeme na maji si Dar peke yake, nchi nzima kasoro Zanzibar?
Kwa hakika hawana jipya.
--------
Tathmini: Shida ya maji hadi ziwa Victoria?
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Wawekezaji njooni tuna umeme wa kutosha