Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Wapo wengi kama mimi wanaoshangaa ni kwanini utekaji unazidi kuongezeka na kugeuka donda ndugu.
Je, serikali imeshindwa kweli au kuna namna?
Je, huyu mbeba moano ameshindwa kuona namna wananchi wasio na hatia wanavyoteswa na kudhulumiwa hata uhai wao?
Je, hawa watekaji wamegeuka serikali ndani ya serikali?
Kwanini karibia wote wanaotekwa ni kutoka upinzani?
Je, wananchi waanze kulipiza kisasi kwa kuwateka hawa mahabithi wanaowateka?
Watanzania tujadiliane namna ya kujiokoa na janga hili maana hatujui nani atatekwa kesho. Juzi tulimzika mzee Kibao.
Leo tunaongelea kutekwa kwa Nondo. Nani ajuaye kesho?