Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Onga Tate Mkuu ng'wanangu.Vipi kama hiyo serikali yenyewe ndiyo inahusika na huo utekaji? Unafikiri itaweza kujitibu? Dawa hapo ni kwa wananchi kutumia tu njia kama ile ya yule mfanyabiashara wa mabasi, wa Mara anayeitwa Zakaria.
IGP atumbuliweWapo wengi kama mimi wanaoshangaa ni kwanini utekaji unazidi kuongezeka na kugeuka donda ndugu. Je serikali imeshindwa kweli au kuna namna? Je huyu mbeba moano ameshindwa kuona namna wananchi wasio na hatia wanavyoteswa na kudhulumiwa hata uhai wao? Je hawa watekaji wamegeuka serikali ndani ya serikali? Kwanini karibia wote wanaotekwa ni kutoka upinzani? Je wananchi waanze kulipiza kisasi kwa kuwateka hawa mahabithi wanaowateka? Watanzania tujadiliane namna ya kujiokoa na janga hili maana hatujui nani atatekwa kesho. Juzi tulimzika mzee Kibao. Leo tunaongelea kutekwa kwa Nondo. Nani ajuaye kesho?
Parallel State.....Polepole alisema serikali imepigwa copyWapo wengi kama mimi wanaoshangaa ni kwanini utekaji unazidi kuongezeka na kugeuka donda ndugu. Je serikali imeshindwa kweli au kuna namna? Je huyu mbeba moano ameshindwa kuona namna wananchi wasio na hatia wanavyoteswa na kudhulumiwa hata uhai wao? Je hawa watekaji wamegeuka serikali ndani ya serikali? Kwanini karibia wote wanaotekwa ni kutoka upinzani? Je wananchi waanze kulipiza kisasi kwa kuwateka hawa mahabithi wanaowateka? Watanzania tujadiliane namna ya kujiokoa na janga hili maana hatujui nani atatekwa kesho. Juzi tulimzika mzee Kibao. Leo tunaongelea kutekwa kwa Nondo. Nani ajuaye kesho?
Siyo kwamba wameshindwa, bali wao ndio wanaopanga, wanaoelekeza na kufadhili utekajiWapo wengi kama mimi wanaoshangaa ni kwanini utekaji unazidi kuongezeka na kugeuka donda ndugu. Je serikali imeshindwa kweli au kuna namna? Je huyu mbeba moano ameshindwa kuona namna wananchi wasio na hatia wanavyoteswa na kudhulumiwa hata uhai wao? Je hawa watekaji wamegeuka serikali ndani ya serikali? Kwanini karibia wote wanaotekwa ni kutoka upinzani? Je wananchi waanze kulipiza kisasi kwa kuwateka hawa mahabithi wanaowateka? Watanzania tujadiliane namna ya kujiokoa na janga hili maana hatujui nani atatekwa kesho. Juzi tulimzika mzee Kibao. Leo tunaongelea kutekwa kwa Nondo. Nani ajuaye kesho?
Serikali ina mkono mrefu, serikali ina macho makubwa, serikali ni juu ya kila kitu. Kwa hiyo haiwezi kushindwa kuwashughurikia wavunjifu wa amani.Wapo wengi kama mimi wanaoshangaa ni kwanini utekaji unazidi kuongezeka na kugeuka donda ndugu. Je serikali imeshindwa kweli au kuna namna? Je huyu mbeba moano ameshindwa kuona namna wananchi wasio na hatia wanavyoteswa na kudhulumiwa hata uhai wao? Je hawa watekaji wamegeuka serikali ndani ya serikali? Kwanini karibia wote wanaotekwa ni kutoka upinzani? Je wananchi waanze kulipiza kisasi kwa kuwateka hawa mahabithi wanaowateka? Watanzania tujadiliane namna ya kujiokoa na janga hili maana hatujui nani atatekwa kesho. Juzi tulimzika mzee Kibao. Leo tunaongelea kutekwa kwa Nondo. Nani ajuaye kesho?
Wapo wengi kama mimi wanaoshangaa ni kwanini utekaji unazidi kuongezeka na kugeuka donda ndugu. Je serikali imeshindwa kweli au kuna namna? Je huyu mbeba moano ameshindwa kuona namna wananchi wasio na hatia wanavyoteswa na kudhulumiwa hata uhai wao? Je hawa watekaji wamegeuka serikali ndani ya serikali? Kwanini karibia wote wanaotekwa ni kutoka upinzani? Je wananchi waanze kulipiza kisasi kwa kuwateka hawa mahabithi wanaowateka? Watanzania tujadiliane namna ya kujiokoa na janga hili maana hatujui nani atatekwa kesho. Juzi tulimzika mzee Kibao. Leo tunaongelea kutekwa kwa Nondo. Nani ajuaye kesho?
Kwasababu serikali ndio watekaji wenyeweWapo wengi kama mimi wanaoshangaa ni kwanini utekaji unazidi kuongezeka na kugeuka donda ndugu. Je serikali imeshindwa kweli au kuna namna? Je huyu mbeba moano ameshindwa kuona namna wananchi wasio na hatia wanavyoteswa na kudhulumiwa hata uhai wao? Je hawa watekaji wamegeuka serikali ndani ya serikali? Kwanini karibia wote wanaotekwa ni kutoka upinzani? Je wananchi waanze kulipiza kisasi kwa kuwateka hawa mahabithi wanaowateka? Watanzania tujadiliane namna ya kujiokoa na janga hili maana hatujui nani atatekwa kesho. Juzi tulimzika mzee Kibao. Leo tunaongelea kutekwa kwa Nondo. Nani ajuaye kesho?
Ukiona Polisi wameshindwa kuzuia au kutatua jambo ujue wamefanya wao, au moja ya vyombo vingine vya ulinzi