Elections 2010 Kadi 400 feki za CCM zakamatwa Ilala - Jangwani, Uchaguzi wafutwa

Elections 2010 Kadi 400 feki za CCM zakamatwa Ilala - Jangwani, Uchaguzi wafutwa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ayawi ayawi yamekuwa
kadi 400 za waanachama wa ccm feki zimekamatwa ktk kinyanganyiro cha uchaguzi ilala jangwani huku wakilalama iweje uchaguzi ukafanyike nyumbani kwa mjumbe;;matatizo haya yameonyesha ni jinsi gani sisiem inavyotuibia kwenye uchaguzi kama uchaguzi unaowahusu wenyewe kujiibia wenyewe kwa wenyewe...hii ni hatari;mbaya zaidi wanachama wakawakamata wahusika wakaambiwa wameletewa kadi usiku wa manane na mjumbe ..ndio maana tuko hapa kweli atuhusiki na wengine tunakaa mbali kabisa tumeletewa kadi tuwahi...hii ndio ccm...
 
Wizi utapeli;uhuni na matukio yasiokuwa ya kawaida kwenye uchaguzi wa leo uliowajumuisha ccm unaonyesha ni jinsi gani tutarajie uchaguzi wa vituko ukifwatiwa na wizi wa majina,kuchanwa kwa leja,ngumi,na mengineyo haya yanaonyesha jinsi gani mchezo mchafu tuutarajie oct 2010..ipo kazi nasema nikiimaanisha ..nimeona zaidi ya vituo kadhaa awajapiga kura so na hili sio kucheka we wa pembeni jua linakuja oct..haya wapinzani kazi kwenu mmeona njia zitakazotumiwa tusubiri yetu macho
 
Back
Top Bottom