Wizi utapeli;uhuni na matukio yasiokuwa ya kawaida kwenye uchaguzi wa leo uliowajumuisha ccm unaonyesha ni jinsi gani tutarajie uchaguzi wa vituko ukifwatiwa na wizi wa majina,kuchanwa kwa leja,ngumi,na mengineyo haya yanaonyesha jinsi gani mchezo mchafu tuutarajie oct 2010..ipo kazi nasema nikiimaanisha ..nimeona zaidi ya vituo kadhaa awajapiga kura so na hili sio kucheka we wa pembeni jua linakuja oct..haya wapinzani kazi kwenu mmeona njia zitakazotumiwa tusubiri yetu macho