1. Haya mambo ya Ticket za karatasi ndio maana watu wanapanda Dar-Dodoma kwa 1,000 Tsh.
2. Weka mfumo wa kulipa kwa Kadi maalum ya SGR mtu ana-scan gate linafunguka na akifika hatoki mpaka a-scan Kadi Yake. Nimeona nchi nyingi wakifanya hivyo. Na inspector awepo. Ukibambwa faini x100 ya nauli halisi.
NB: vinginevyo mnalea wahuni wenzenu