kadi nyekundu ya Mukoko Tonombe Kigoma atakosa mechi ya ufunguzi?

kadi nyekundu ya Mukoko Tonombe Kigoma atakosa mechi ya ufunguzi?

pamba boy

Senior Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
181
Reaction score
266
Wadau naomba kujua iwapo kadi nyekundu aliyopata mukoko kwa kumchezea boko rafu mbaya kama adhabu yake itampelekea kukosa mechi ya ufunguzi wa ligi!
 
Mukoko nafasi yake atacheza Aucho au Bangala
 
Haya hongera zako wewe uliyemaliza madarasa yote shule za kishua
Huyo asikuzengue umemjibu vema mleta mada, swali lilikuwa na maana pana zaidi ya kujibu ndio au hapana. Kauliza uwezekano wa Mkoko kucheza game inayofuta, na hii ni kutokana na umuhimu wake kwenye game, ingekuwa ni Nchimbi nadhani hakuna ambae angeuliza. Wewe ukamjibu kwenye ile maana pana kuwa, hata asipokuwepo kwa sasa tuna watu wa kuziba pengo lake.
 
... ukamjibu kwenye ile maana pana kuwa, hata asipokuwepo kwa sasa tuna watu wa kuziba pengo lake.
Lakini amewataja kwa majina, wakati pia wapo akina Zawadi Mauya. Je, si kuingilia majukumu ya kocha huko?
NB: Aucho ngoma yake bado bado sana
 
Back
Top Bottom