Wadau naomba kujua iwapo kadi nyekundu aliyopata mukoko kwa kumchezea boko rafu mbaya kama adhabu yake itampelekea kukosa mechi ya ufunguzi wa ligi!
Hujaulizwa nafasi ya mukoko atacheza nani, rejea kichwa cha habari cha mleta uzi,, Haya mambo la tatu b shule ya msingi mpiga mitiMukoko nafasi yake atacheza Aucho au Bangala
Hii ndio mi division 0Hujaulizwa nafasi ya mukoko atacheza nani, rejea kichwa cha habari cha mleta uzi,, Haya mambo la tatu b shule ya msingi mpiga miti
Huyo asikuzengue umemjibu vema mleta mada, swali lilikuwa na maana pana zaidi ya kujibu ndio au hapana. Kauliza uwezekano wa Mkoko kucheza game inayofuta, na hii ni kutokana na umuhimu wake kwenye game, ingekuwa ni Nchimbi nadhani hakuna ambae angeuliza. Wewe ukamjibu kwenye ile maana pana kuwa, hata asipokuwepo kwa sasa tuna watu wa kuziba pengo lake.Haya hongera zako wewe uliyemaliza madarasa yote shule za kishua
Lakini amewataja kwa majina, wakati pia wapo akina Zawadi Mauya. Je, si kuingilia majukumu ya kocha huko?... ukamjibu kwenye ile maana pana kuwa, hata asipokuwepo kwa sasa tuna watu wa kuziba pengo lake.