Kadi ya gari la Gurumo anayo Ruge

Du aibu sana nyie watoto ka gari kanawatoa roho naona mlikuwa hamna mapenzi na mzazi wenu
 
kagari kenyewe kadogoooooooo

Ndio maana Deo Carleone anasema hana hata shilingi ya urithi mali zote unazoona ni zake "mfalme"
 
Last edited by a moderator:
Kubadiri ownership inachukua miezi mingi namna hii? tangu mwezi wa nane mwaka jana hadi leo ruge hajamkabidhi mkewe gulumo kadi?

Hata mimi nimeshangaa kazi ya kufanya siku moja,inachukua miezi?
 
Umasikini ni shida sana! Sisi "masikini" tunaanzaga zogo hata bado mtu hajafa!! Mzee aliamua kwa busara na akili nyingi hili suala.
 
wazaramo na wakwere wataendelea kudharauliwa sana nchi hii wanachojuwa wao ni kucheza ngoma tu

hiyo gari thamani yake ni million 5 tu, tra kubadili umiliki wa gari ni shilling 50,000/= tu.

kwa ujinga kama huu msimuhusishe ruge na ujinga wao wa kizaramo.
 
Umaskini mbaya,,,,,, vijana tufanye kazi kwa bidii tutafute zetu
 
John John mimi dunia imenitenga, chanzo cha mateso ni kufariki baba na mama nimekuwa mkiwa mbele yangu zanguuu..... Tunatoana roho yalabiiiiii

Ndio maana alitoa kadi mapema, nimeipenda hii Qn of Sheba


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Du aibu sana nyie watoto ka gari kanawatoa roho naona mlikuwa hamna mapenzi na mzazi wenu

na nyumba alizoacha watagombea tuu na magar mengine..mzee alikuwa na magar mengine daladala mana alikuwa mtja wa mikopo taasisi flani siitaji ..ana nyumba ina wapangaji wengin ukiacha hyo aliokuwa anakaa
 
Sasa huyo mke wa Gurumo ana uwezo wa kuweka wese na kulihudumia hilo gari ?
 
Kumbukizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…