Si itahitaji password? Atatoa wapiNamba za kadi zikichukuliwa na mtu mwingine utakuwa unamlipia shopping zake zote hivyo suala la fedha benki ni la mteja na benki yake na siyo la kuanika JF au kwa mtu mwingine tofauti na benki
Mkuu huo banggood ni mtandao wa nchi gani? Na je ilikuchukua siku ngapi kupokea order yako?Mimi natumia master card ya nmb huwa nanunua vitu mitandao mbalimbali kama vile Aliexpress,Ebay,Banggood e.t.c!!......Sijawahi kuona tatizo lolote!
Card nyingi ukiandika zile card namba na cvc mchezo umekwisha!!Si itahitaji password? Atatoa wapi
Hapo unanitega mkuu kifupi ni hivyo au unaweza kujaribu kuandika namba ya kadi yako wakiipata wajuaji utajua kama inahitaji password au la.Si itahitaji password? Atatoa wapi
Card nyingi ukiandika zile card namba na cvc mchezo umekwisha!!
Kumbe ndo maana wanakataza kutupa risist ZA benkiHapo unanitega mkuu kifupi ni hivyo au unaweza kujaribu kuandika namba ya kadi yako wakiipata wajuaji utajua kama inahitaji password au la.
Inachukua siku 7 hadi 14Mkuu huo banggood ni mtandao wa nchi gani? Na je ilikuchukua siku ngapi kupokea order yako?