Wadau vipi,
Je? Naruhusiwa kufanyia lamination kadi ya umiliki wa chombo cha moto?
Pia Kuna kadi naziona (siyo original) zimesainiwa sijui na trafiki (sina hakika) kama certified copy, Je taratibu ziko vipi na wapi naweza kufanya hivyo?
Msaada wenu tafadhali