Kama CCM hasa Kyela waliweza kutengeneza kadi feki za CCM watashindwa kutengeneza kadi feki za vyama vingine. Mbeya hasa Kyela ni kiboko kwa kadi feki. (Mwakyembe Cards Factory) Ramos weka hii picha kwenye post yako ya kwanza.Ndio maana nilisema nina wasiwasi na hawa wazee wa kuchakachua! MNACHAKACHUA HADI KADI ZA VYAMA VINGINE ILI MUONEKANA MNAPENDWA SANA AU.... KWELI AKILIZA MBAYUWAYU LOL!
jk kadanganywa tena kadi zote mpya yeye hata hajiulizi inakuwaje kadi zote ziwe hazijakunjwa na namba zinafuatana
Yaani huyu ni jamaa wa kuonea huruma kabisa. Angepumzika tuu maskini ya Mungu. Katika historia ya nchi hii hakuna rais ambaye kachezewa na kusanifiwa kama huyu.JK kadanganywa tena kadi zote mpya yeye hata hajiulizi inakuwaje kadi zote ziwe hazijakunjwa na namba zinafuatana
JK kadanganywa tena kadi zote mpya yeye hata hajiulizi inakuwaje kadi zote ziwe hazijakunjwa na namba zinafuatana
Inawezekana JK hajadanganywa bali yeye mwenyewe pia alishiriki katika kufoji hizo kadi na kutangaza mbele ya hadhira kuwa kapata wanachama wapya kutoka CHADEMA.
Sidhani kama angekuwa Mkapa angekubali mambo ya kipuuzi namna hii hata wizi una Grade zake sasa hii ni very low kwa rais kudanganywa na kukubali.Yaani huyu ni jamaa wa kuonea huruma kabisa. Angepumzika tuu maskini ya Mungu. Katika historia ya nchi hii hakuna rais ambaye kachezewa na kusanifiwa kama huyu.