Kama watu wameweza kumdanganya kipindi akiwa normal kabisa, kampeni hazijaanza, itakuwa ya sasa hivi wakati amepagawa?...Sielewi washauri wake wanamsaidiaje huyu rafiki!...Anyway, kwavile waliopo karibu naye sana kwa sasa ni akina MAKAMBA i dont blame him so much...ni mavuvuzela anayoandamana nayo!...what a shame!
Upya wa kadi siyo kigezo cha kubainisha kwamba kikwete kadanganywa.Lete vielelezo sahihi vinovyobainisha kuwa kadi alizopokea kikwete ni fake
A serious note! Raisi wetu ni mgonjwa wale wa kwenye fani ya afya wanaweza kubaliana nami, hana mng'alo wa mtu aliye mzima inawezekana amechoka ama ametindikiwa na msongo wa mawazo. Take a rest Mr Predidaaa
Mimi nafikiri ule mkutano wa Chadema wa ufunguzi ulikuwa planned kuwa na hotuba za kuwachanganya CCM, hawakutegemea Mkapa na Kikwete watatajwa kwenye scandal ya EPA. Hadi leo CCM wanaongelea mkutano ule wakati Chadema inaendelea kuchanja mbuga, ukiongeza na pingamizi la Kikwete CCM wanachanganyikiwa zaidi.CCM imeshikwa patamu, bado wanaweweseka kujibu hotuba za ufunguzi wa CHADEMA, wametumia Radio ya Taifa, TV YA TAIFA, wametumia new Habari Coop, Uhuru na mzalendo , Daily News , Jambo Tz, na vijigazeti uchwara vya shigongo plus tule tujigazeti twa karmagi na Prince Bagenda, na wamejipenyeza ITV, Radio one, The Gurdian, nIPASHE NK, LAKINI WAAAAPI, SASA WANAKUJA NA MBINU CHAKAVU, UJANJA WAKIJINGA, wameaibishwa, karne hii siyakufanya upuuzi kama huo, lazima utaumbuka.
Tanzania daima leo imeripoti kuwa, imegundulika kuwa wanachama 400 wa CHADEMA waliorejesha kadi zao kwa KIKWETE na kukabidhiwa za CCM, kumbe ni mamluki na kadi zilikuwa feki. Hata viongozi waliosema wamejiunga na CCM kumbe sio kweli, walikuwa wameshafukuzwa kutoka CHADEMA long time.
Mkuu kadanganywa, kacheka hadi jino la IDD linaonekana...
Nadhani Guiness wanatakiwa wamrekodi katika kitabu chao, probably ndiye raisi anayeongoza kwa kudangaywa...
Sasa hapa bona hatuwaoni wenye kadi hizoooo??JK kadanganywa tena kadi zote mpya yeye hata hajiulizi inakuwaje kadi zote ziwe hazijakunjwa na namba zinafuatana
Nani wa kuthibitisha kama kadi zile ni feki na watu wale waliorudisha nao feki?Gazeti la Tanzania Daima ni la nani?Isije ikawa ni propaganda ya kupumulia na kushusha pressure ya Chadema?
Nendeni huko Mbeya mkafanye kazi ya kuwatambua wote waliorudisha hizo kadi,wapi wamezipata kabla ya kulamba maneno ya gazeti la propaganda la Chadema.
JK kadanganywa tena kadi zote mpya yeye hata hajiulizi inakuwaje kadi zote ziwe hazijakunjwa na namba zinafuatana
Umesoma posts zote katika topic hii? Au nawe unabwata tu kwa kuwa una domo?
Simshangai huyu!
....ha!hahaaaaaaaaaa...baba mchungaji niliisahau hiii......ha!hahaaaaaaa....! 300k vs two hundred! menikumbasha....yaani huyu mshikaji kwa kuuziwa mbuzi kny gunia ni balaaaaa.....!