Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli anachaguliwa na pope kwakuwa hujataka kujua mchakato wa kumpata unakuaje wacha tuishie hapa kwa leo.Kadinali huchaguliwa na Papa ili kusaidia katika kumshauri juu ya mambo mbali mbali ya kiimani na hata kijamii.
Vile vile makadinali ndio wenye haki ya kupiga kura ya kumchagua Papa.