Kadinali huchaguliwa na Papa ili kusaidia katika kumshauri juu ya mambo mbali mbali ya kiimani na hata kijamii.
Vile vile makadinali ndio wenye haki ya kupiga kura ya kumchagua Papa.