Kadinda kumfuata Jack Patrick China

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Imekaa poa sana! Ubuyu kutoka Hong Kong , China unadai kwamba mbunifu wa mavazi Bongo, Martin Kadinda hivi karibuni alimfuata Jacqueline Fitzpatrick Cliff ' Jack Patrick ' gerezani aliyefungwa nchini humo kwa msala wa kukamatwa na madawa ya kulevya.

Habari kutoka kwa mtu wa karibu wa Kadinda ambaye ni meneja wa Wema Isaac Sepetu zilidai kwamba katika safari yake nchini humo , alifuatana na Wema na Petit Man .

"Kadinda amepongezwa sana kwa hatua yake hiyo , kuhusu kama alionana naye au alichoongea naye , tusubiri arudi maana bado yupo China, " alisema rafiki wa mmiliki huyo wa lebo za mavazi za Single Button na Kwachukwachu .
 
Sijaelewa binamu yani kumfuata huyo jack kurudi nae tz au kaenda kumsalimia
 
Huu udaku mtu wa kawaida ngumu kumwingia labda wapenda ubuyu mnajuana humu
 
Mimi naona alienda kumsalimia...unafiki tu kisa anajua karibu atamaliza kifungo,alikua wapi siku zote???si shoga ake na mapicha alikua anatarusha insta???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…