Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Sawa.2. Ukubali ukatae mafanikio yanachuja na kupunguza wahusika au kuwaweka mbali na circle yako. Na hiyo ni kanuni za kiulinzi na kiusalama.
kwa kawaida, mtu ni muunganiko wa chromosomes 46 (23 kutoka kwa mama na 23 kutoka kwa baba)3. Ulipokuwa kwenye korodani za Mzee wako. Mbegu yako ilikuwa na mamilioni ya mbegu nyenzako. Lakini wewe ndiye ulifanikiwa kurutubishwa na kuwa kijusi huku zile mbegu nyenzako ukitengana nazo. Now wewe upo hatua ya kiumbe hai zile habari yao iliishia kwenye mbegu.
Mlikuwa ndugu katika korodani, na nyote mlikuwa mbegu lakini si sasa. Wewe ni kiumbe hai(MTU).
Naam!4. Unapoingia kwenye Mahusiano yoyote. Nitakupa Mfano, Mahusiano ya Ndoa.
Upo wewe na Mkeo/mumeo na watoto.
Hayo ni mafanikio ya kijamii.
Kama mtu wa nje hasa wa kazini, hana ulazima wa kuja hapo home, kuijua familia yako usilete watu nyumbani kwako Bila sababu za Msingi.
Naaaam!5. Sio Kila Rafiki au mshikaji anatakiwa kufika hapo nyumbani kwako.
Uzoefu wangu na wengi wanaonipigia simu wanalalamikia usaliti mkubwa unaofanywa na ndugu na Rafiki zao kwenye familia zao.
Unakuta Rafiki baada ya kumtambulisha mambo katika mahusiano yako ndio yanaharibika.
Na sisi, tuache kuchimba chimba ya wengine tukiwa ma-kazini.6. Kazini yaishie kazini.
Nyumbani iishie nyumbani
Mtaani iishie mtaani.
Kila watu uwaweke kwenye mipaka yao.
Hii π₯ππΎ7. Hii itamaanisha hata wewe utapunguzwa na wengine kadiri wanavyofanikiwa na kukua. Hivyo usiumie wala kulalamika.
Hapa pia tukumbuke, na sisi tunawasaliti wengine.10. Usaliti mkubwa utafanyiwa na watu wako wakaribu ambao umewaweka katika circle isiyo yao.
Na mtego upo hapa, sabb in life hakuna mtu anayejitosheleza, at some point kuna mtu tu utamwamini directly or indirectly.Kumuamini Kila mtu ni sababu ya anguko la watu wengi.
Naam11. Yapo mafanikio yako binafsi haya hayahitaji ushirika na MTU. Yanakuwa ni siri yako.
Naam ππΌYapo mafanikio ya familia, wewe mkeo/mumeo na watoto. Hayo myajue ninyi tuu. Sio kuhusisha watu wasiohusika.
Na sisi tukipunguzwa pia tuelewe, tusianze kuwachikua wenetu wanaopunguza ukaribu na sisi.12. Kila unapopanda juu lazima upunguze wahusika ili kumaintain power na usalama.
Kwa sasa Dar es salaam
Naam!
Naaaam!
Na sisi, tuache kuchimba chumba ya wengine tukiwa ma-kazini.
Hii π₯ππΎ
Tunaweza kupunguza, ila tujue na sisi tutapunguzwa.
Hivyo, tusilalamike ikitokea washkaji wakiwa mbali na sisi! Ipo hivo.
Hapa pia tukumbuke, na sisi tunawasaliti wengine.
Japo nature ya binadamu si kuona mabaya yake mwenyewe.
ila binadamu anayeweza kuona mabaya yake na kujua ni wapi kasaliti wenzie, huyu anakuwa ni katisha mno. (1 in 10,000)
Na mtego upo hapa, sabb in life hakuna mtu anayejitosheleza, at some point kuna mtu tu utamwamini directly or indirectly.
Maana hata kuwa na sexual relationship tu ni tayari umeamini mtu.
Naam
Naam ππΌ
Na sisi tukipunguzwa pia tuelewe, tusianze kuwachukua wenetu wanaopunguza ukaribu na sisi.
Nothing personal, it's just business.
isijekuwa sisi tunataka kupunguza watu, halafu tukipunguzwa sisi na wenetu tunaanza kulalamika.
Huu msumeno ukate kote kote.
Kwa sasa Daslamu
Umejitahidi kwa kiasi fulani.KADIRI UNAVYOENDA JUU, UNAVYOKUA/FANIKIWA PUNGUZA CIRCLE YAKO.
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli
Shahidi.
1. Usijesema sijakuambia na hili pia. Ni muhimu Sana kwako. Lengo ni ili uishi kwa furaha na Amani.
2. Ukubali ukatae mafanikio yanachuja na kupunguza wahusika au kuwaweka mbali na circle yako. Na hiyo ni kanuni za kiulinzi na kiusalama.
3. Ulipokuwa kwenye korodani za Mzee wako. Mbegu yako ilikuwa na mamilioni ya mbegu nyenzako. Lakini wewe ndiye ulifanikiwa kurutubishwa na kuwa kijusi huku zile mbegu nyenzako ukitengana nazo. Now wewe upo hatua ya kiumbe hai zile habari yao iliishia kwenye mbegu.
Mlikuwa ndugu katika korodani, na nyote mlikuwa mbegu lakini si sasa. Wewe ni kiumbe hai(MTU).
4. Unapoingia kwenye Mahusiano yoyote. Nitakupa Mfano, Mahusiano ya Ndoa.
Upo wewe na Mkeo/mumeo na watoto.
Hayo ni mafanikio ya kijamii.
Kama mtu wa nje hasa wa kazini, hana ulazima wa kuja hapo home, kuijua familia yako usilete watu nyumbani kwako Bila sababu za Msingi.
5. Sio Kila Rafiki au mshikaji anatakiwa kufika hapo nyumbani kwako.
Uzoefu wangu na wengi wanaonipigia simu wanalalamikia usaliti mkubwa unaofanywa na ndugu na Rafiki zao kwenye familia zao.
Unakuta Rafiki baada ya kumtambulisha mambo katika mahusiano yako ndio yanaharibika.
6. Kazini yaishie kazini.
Nyumbani iishie nyumbani
Mtaani iishie mtaani.
Kila watu uwaweke kwenye mipaka yao.
Na kadiri unavyokua na kufanikiwa unawapunguza waliochini ya level uliyofikia. Unawaweka kwenye mipaka yao.
7. Hii itamaanisha hata wewe utapunguzwa na wengine kadiri wanavyofanikiwa na kukua. Hivyo usiumie wala kulalamika.
8. Saidia watu ila haimaanishi uwe na ukaribu nao usiosahihi.
Mfano Rafiki wa mtandaoni kuweni na urafiki wa kimtandao, usijiachie Sana kwake, hasa kama mmeshakuwa karibu.
9. Nafahamu ni rahisi kumuamini MTU wa mtandaoni kwani hakujui, na unaweza kuficha ID zako, utambulisho wako wa sura, hiyo ni Sawa kama unaelezea mambo nyeti na kutaka msaada wa mawazo.
10. Usaliti mkubwa utafanyiwa na watu wako wakaribu ambao umewaweka katika circle isiyo yao.
Kumuamini Kila mtu ni sababu ya anguko la watu wengi.
11. Yapo mafanikio yako binafsi haya hayahitaji ushirika na MTU. Yanakuwa ni siri yako.
Yapo mafanikio ya familia, wewe mkeo/mumeo na watoto. Hayo myajue ninyi tuu. Sio kuhusisha watu wasiohusika.
Yapo Mafanikio yenu kama familia yako, wazazi na wakwe zako. Haya yawahusu ninyi tuu.
Yapo mafanikio ya ndugu, jamaa na marafiki.
12. Kila unapopanda juu lazima upunguze wahusika ili kumaintain power na usalama.
Kufikia hapo sina la ziada
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Umejitahidi kwa kiasi fulani.
Nakupa 65%.
Nakubali..!
ChaiUmejitahidi kwa kiasi fulani.
Nakupa 65%.
Mkuu sasa ukifa ama unamsiba watasusa eti ulikuwa una ringa.KADIRI UNAVYOENDA JUU, UNAVYOKUA/FANIKIWA PUNGUZA CIRCLE YAKO.