Ujenzi kwanza umesimama muda mrefu sn hakuna kinachoendelea zaidi ya utapeli tupuSGR kwa kipande cha lsaka - Mwanza, mkataba ulisainiwa Magufuli akiwa hai mwaka 2021.
Hadi Leo mradi umefikia 63%????..
Nchi ni ngumu hii
kuna biashara gani kati ya Isaka na Mwanza? Magu alikuwa hopeless kwl, alikuwa ni mbaguzi na mwenye upendeleo wa hovyo. Kwanini wasingeendeleza kutoka Dodoma badala yake akakimbilia kuanzia Isaka? Bado daraja la Kigongo-Busisi wakati nchi bado ina barabara za vumbi ila tumshukuru Mungu anaipenda nchi yetu yule banyamulenge angeshaivunjavunja vipande nchi hii.Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema Reli ya Kisasa ya Umeme (SGR) ikikamilika Mkoa wa Mwanza utakuwa kitovu cha biashara kanda ya ziwa.
Kadogosa ameyasema hayo usiku Jumanne Machi 18, 2025 katika hafla iliyofanyika jijini humo kuangazia miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan madarakani.
Mkoa huo unaunganishwa na SGR kwa kipande cha lsaka - Mwanza chenye urefu wa kilomita 341 ambacho kinajengwa kwa gharama ya Sh3.06 trilioni na hadi mwezi huu ujenzi wake umefikia asilimia 63.04.
"MIliyoyaona kanda ya ziwa ni yaliyotendeka na yanayoendelea kutendeka katika ujenzi wa reli, tunazungumzia miaka minne ya Rais Samia, kwa sisi watu wa ukanda huu lengo tunalijua, mradi huu ukikamilika Mwanza itakuwa kitovu cha biashara," - amesema Kadogosa.
Soma, Pia: Ujenzi wa SGR Mwanza - Isaka wafikia 63%
Katika hafla hiyo mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ambaye amesisitiza mradi huo utakamilika na kuwanufaisha wakazi wa ukanda huo
"Reli imeanza (SGR) na mchakato wa ujenzi katika vipande vingine unaendelea, endeleeni kumuamini Rais wetu ilimradi tuliapa kuwasaidia, tutawatumikia na mtanufaika na mradi huu"- amesema Majaliwa.
kuna biashara gani kati ya Isaka na Mwanza? Magu alikuwa hopeless kwl, alikuwa ni mbaguzi na mwenye upendeleo wa hovyo. Kwanini wasingeendeleza kutoka Dodoma badala yake akakimbilia kuanzia Isaka? Bado daraja la Kigongo-Busisi wakati nchi bado ina barabara za vumbi ila tumshukuru Mungu anaipenda nchi yetu yule banyamulenge angeshaivunjavunja vipande nchi hii.
We kwl ni mbwa kokoSamia hajajenga hata kilometer 1 ya reli.. huo mradi wa mwanza isaka pesa ilikua ishapatikana tayar kabla ya Magu kufariki.
Chakushangaza vipande alivyovizindua yeye hakuna hata kimoja kinaendelea pamoja na kwamba mkopo alishapewa wa ufadhili.
Weka picha za maeneo aliyo yajenga SGRWe kwl ni mbwa koko
Magu hawajawahi bagua mkoa wowote taja hakuna mkoa ambao hukuguswa na neema za magufulikuna biashara gani kati ya Isaka na Mwanza? Magu alikuwa hopeless kwl, alikuwa ni mbaguzi na mwenye upendeleo wa hovyo. Kwanini wasingeendeleza kutoka Dodoma badala yake akakimbilia kuanzia Isaka? Bado daraja la Kigongo-Busisi wakati nchi bado ina barabara za vumbi ila tumshukuru Mungu anaipenda nchi yetu yule banyamulenge angeshaivunjavunja vipande nchi hii.
Samia hajajenga hata kilometer 1 ya reli.. huo mradi wa mwanza isaka pesa ilikua ishapatikana tayar kabla ya Magu kufariki.
Chakushangaza vipande alivyovizindua yeye hakuna hata kimoja kinaendelea pamoja na kwamba mkopo alishapewa wa ufadhili.
labda alfikiria ikifika isaka itruka mpaka dar. fikiria hta iikamilika itabdi isubirie mpaka 2027 reli ya tabora -isaka itakapokuwa imekamilika.kuna biashara gani kati ya Isaka na Mwanza? Magu alikuwa hopeless kwl, alikuwa ni mbaguzi na mwenye upendeleo wa hovyo. Kwanini wasingeendeleza kutoka Dodoma badala yake akakimbilia kuanzia Isaka? Bado daraja la Kigongo-Busisi wakati nchi bado ina barabara za vumbi ila tumshukuru Mungu anaipenda nchi yetu yule banyamulenge angeshaivunjavunja vipande nchi hii.
kimyakivipi kuna icha za kuveriify kuwa hakun kinachoendeelea mpaka sasa. mbona kazi inaendelea tu labda useme speed ilipunga hapo ka kutokana malipo kuchelewaDodoma .....Tabora kimyaaas miaka 2 sasa Yepi yuko nje site.....
Dodoma .....Tabora kimyaaas miaka 2 sasa Yepi yuko nje site.....
Najua nachosema Yepi hayuko site mkuu bafo anadai na kudaiwa pia....mimi mmojawapo nawadai mwaka 2 sasa....kuna uwezekano dom tabora wakauza kwa wachina waje na loan wajenge tudaiwe in 20yrs .....Yepi hana pesa .....kujenga aje adai mbeleni....alitakiwa akopeshwe ila riba kubwa banks hapa Tz.....kimyakivipi kuna icha za kuveriify kuwa hakun kinachoendeelea mpaka sasa. mbona kazi inaendelea tu labda useme speed ilipunga hapo ka kutokana malipo kuchelewa