Kaduguda na Kisasa wamepenya?

Kaduguda na Kisasa wamepenya?

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,741
Kama kuna wana-JF ameshapata taarifa kuhusu kuajiliwa kwa kaduguda na Kisasa naomba anijulishe maana nilisikia kuna kamati zina kaa kuangalia kama Kadu na Kisasa wawe Makatibu wa kuajiliwa....!?
 
Hizi siasa za Simaba na Yanga fitna tupu. Hayo ya kuajiriwa yatabakia kwenye mazungumzo tu lakini ikifikia utekelezaji hutaona hawa jamaa wakibakia pale.
 
Back
Top Bottom