Maana ya neno 'kafiri' ni mtu asiyeamini kuwa kuna Mungu.
Katika Biblia Takatifu 'makafiri' wanatajwa. Rejea kitabu cha maombolezo ya Jeremia 1:3 neno la Mungu linasema hivi:
"Yuda amehamishwa kwa sababu ya kuonewa, na kwa sababu ya utumwa mkuu; Anakaa kati ya makafiri, Haoni raha iwayo yote; Wote waliomfuata wamempata katika dhiki yake.+"
Kwa hiyo wanayoifungamanisha MAANA ya NENO 'KAFIRI' na WAKRISTO wanakosea kwa sababu hata WAKRISTO wanawatambua MAKAFIRI.