Huyu naye takatakaNi muda mrefu sasa Kafulila hajasikika akileta taarifa za PPP kama tulivyomzoea akitoa taarifa na kudadavua mambo mbalimbali ya uchumi.
Kabla ya October 2025 Kafulila alikuwa moto sana na taarifa zake za PPP zilijaa kwenye media hadi hapa jukwaani.
Kulikoni?
Role model wa ChoiceVariableHuyu naye takataka
😂🤣😅😆Role model wa ChoiceVariable
Kafulila alikua ni tapeli kama matapeliNi muda mrefu sasa Kafulila hajasikika akileta taarifa za PPP kama tulivyomzoea akitoa taarifa na kudadavua mambo mbalimbali ya uchumi.
Kabla ya October 2025 Kafulila alikuwa moto sana na taarifa zake za PPP zilijaa kwenye media hadi hapa jukwaani.
Kulikoni?
Labda alikoswakoswa risasi October 2025 akaona kumbe hata hakuna wa maana anayempigania!Ni muda mrefu sasa Kafulila hajasikika akileta taarifa za PPP kama tulivyomzoea akitoa taarifa na kudadavua mambo mbalimbali ya uchumi.
Kabla ya October 2025 Kafulila alikuwa moto sana na taarifa zake za PPP zilijaa kwenye media hadi hapa jukwaani.
Kulikoni?