Kafulila asipodhibitiwa ataudanganya Umma kupitia PPP, akilenga kueneza uelewa potofu kuhusu mfumo wa Ushirikiano Kati ya Sekta ya Umma na Binafsi

Bado sijaona zile ID zake anazozilipa kuja kumpamba na zile ID zake mbili kuja kujibu mashambulizi.

Ukiwa makini tu utazijua.
 
PPP itakuwa na maana halisi iwapo miradi yote ya uwekezaji itahusisha watu na makampuni binafsi kupitia soko letu la hisa DSE. Kinyume na hilo ni kuendelea ukiritimba wa kifisadi ngazi ya Dola .... Kitu ambacho Kafulila anakifanya kwa kutumia nguvu na ulaghai mwingi wa kutosha.
 
Tutajie makubwa hamsini,mengine bila shaka yatakuwa vidagaa.
Yakonikuta ya kunikuta mwanasheria wangu ataniambia umejitakia mwenyewe. Ukumuona mwenzako Dr Slaa uropokaji unavyomletea shida na TLS yote inametetea.
 
Nawekama jam
Yakonikuta ya kunikuta mwanasheria wangu ataniambia umejitakia mwenyewe. Ukumuona mwenzako Dr Slaa uropokaji unavyomletea shida na TLS yote inametetea.
bo lako la haki pi a utayetewa.
 
KAFULILA NDIO RAIS WENU BAADA YA SAMIA, TUNZA COMMENT VIZURI
 
Hivi kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumsikiliza Kafulila?

Namtabiria kukamatwa na kushitakiwa kwa Uhujumu uchumi Muda wowote
Wewe ni mjinga sana, Sasa Kafulila anahujumu Uchumi gani?
Hebu, Shusha mashitaka ya Kafulila πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu tumbili toka apokwe mke na mzee Kiswaswadu amekuwa mropokaji sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…