Kafulila asipodhibitiwa ataudanganya Umma kupitia PPP, akilenga kueneza uelewa potofu kuhusu mfumo wa Ushirikiano Kati ya Sekta ya Umma na Binafsi

CHADEMA Kafulila amewazidi kila kitu, njooni mumjibu kwa facts
Amewazidi kila kitu nyie makada wafia chama wa CCM ndiyo maana amekula shavu na nyie mnabaki kuwa machawa tu wa kuambulia buku7
 
Tayari zile ID 2 za kazi zimefika kupoza moto.

Bado tapeli mwenyewe hajatokea anachungulia tu.
 
Shida ya 2mbili ni king'ang'anizi, hayo ni mawazo ya watu hata wenyewe yalishawashinda. Bandari au migodi si ni ppp kwani tunapata faida gani! Masikini huwezi trade na tajiri ukanufaika, never!
Matajiri wote wanasimama kama wao hakuna anaegawana na wachimbachumvi eti ppp. anawenzake huko wanadanganyana kama vile wamesoma peke yao hii nchi!
Hizi ni resources za nchi inatakiwa mjadala wa wasomi kutekeleza.
Nikuulize 2mbili haya mawazo yako kwa nini awamu ya 5 hukuyaleta?
 
 

Attachments

  • 1edaac7a3e34dc7dbc36bb899a6e6430_1738702701936.mp4
    5.4 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…