Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Dah! Watu tuko tofauti sana, aisee.Kamishna wa Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi, Davidi Kafulila, ametoa tathmini yake ya Bunge la 12 kuwa lenye mafanikio makubwa kwa kuisimamia Serikali ya Awamu ya Sita kuwa na mafanikio kuliko awamu zilizopita.
Kafulila amesema kuwa moja ya mikakati ya kupunguza umasikini nchini ni kupitia sekta ya kilimo, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita kupitia Rais Samia Suluhu Hassan imeongeza ukuaji wa sekta ya kilimo kwa muda mfupi.
"Serikali ya Awamu ya Sita, ndani ya miaka minne, imekuta kilimo kinakua kwa asilimia 2.6, kwa sasa kinakua kwa asilimia 4.2. Hii haijafika asilimia kumi lakini ni shift kubwa sana," amesema Kafulila.
Jibuni hoja acheni unyumbu wenu hapa. Najua hamna uwezo wa kujibu hoja za Mheshimiwa Kafulila kwa sababu yeye anaongea kwa takwimu na ushahidi wakati Ninyi mnafanya kazi ya uropokaji na upayukaji tuHaka nako kamezidi sasa ,hata kama ni uchawa huu umevuka kiwango
Kafanye kazi uone kama hutapata hiyo milo mitatu. Kikubwa acha uvivu na kushinda kwenye vibaraza vya watu ukipiga umbeya wako muda wote.Aache Ujinga Nyakati Mbaya Sana Hizi
Kupata Milo Mitatu Imekuwa Mtihani
Kafulila makini sanaKafanye kazi uone kama hutapata hiyo milo mitatu. Kikubwa acha uvivu na kushinda kwenye vibaraza vya watu ukipiga umbeya wako muda wote.
Na wewe mpinge kwa Data. Dunia ya Leo ni Data tu za kiutafiti na kisayansi na siyo kupiga porojo zako hapa. Mheshimiwa Kafulila anaonyesha usomi wake na kuongea kisomi kabisa na kwa lugha nyepesi kabisa ambayo hata asiye na Elimu kama wewe anaweza kumuelewa kabisaHuyu hua anajificha kwenye data zaidi,
Lakini maisha yetu haya akisi hizo data anazosema
Ila Wewe Jamaa Yaani Mungu Akufanyie Wepesi TuKafanye kazi uone kama hutapata hiyo milo mitatu. Kikubwa acha uvivu na kushinda kwenye vibaraza vya watu ukipiga umbeya wako muda wote.
Ni hazina kwa Taifa letu. Aende tu Bungeni kwa njia yoyote ileKafulila makini sana
Wepesi wa nini . Kwani umesikia kuwa mimi ni mzito wa Mwili.Ila Wewe Jamaa Yaani Mungu Akufanyie Wepesi Tu
Sahiihi kabisaNi hazina kwa Taifa letu. Aende tu Bungeni kwa njia yoyote ile
Tumbili mwenyewe usiyejitambuaTumbili
Hachosi kumsikiliza. Unakuwa unatamani uendelee kumsikiliza tuSahiihi kabisa
Wewe Jamaa Kuna Sehemu Umeme Mdogo Ama Fuse Hazipokei VizuriWepesi wa nini . Kwani umesikia kuwa mimi ni mzito wa Mwili.