Kafulila: Bunge limeongeza ufanisi wa serikali

Huyo ngedere akipigwa fimbo vizuri atasema tuu hizo bangi hua ana uziwa na nani na hua anavutia wapi
 
Huyo ngedere akipigwa fimbo vizuri atasema tuu hizo bangi hua ana uziwa na nani na hua anavutia wapi
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜
 
Mkuu rudisha akili zako.

Upo kama Zombi au mzimu hivi
 
Ni rahisi kutaja lakini zinatolewa hizo pesa? Zinawafikia walengwa?? Vipi takwimu za rushwa, zinashuka au zinapaa? Tusiwe wepesi wa kusifia bajeti tukasahau na usimamizi wake.
 
Waha sio wa kuwaamini hata kidogo, tumbili sasahivi ye ni mwendo wa kusifia tu na kutuletea data zisizo na uhalisia wa maisha ya watu wa chini kama huku vijijini na hata mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…