Kafulila: Huenda tuna kizazi bora zaidi kaburini kuliko hiki kilichopo leo duniani

Aliyasema haya wakati alipokuwa na akili yake timamu. Bahati mbaya ukienda CCM, sharti la kwanza ni lazima uache akili kwanza.

Ukimwuliza Kafulila leo hii juu ya hayo aliyoyasema, atayakana kabisa, kwa sababu yeye mwenyewe amewezeshwa.
 
Nadhani huyo ndio Kafulila wa zamani kabla hajaanza kuishi kwa kulishwa mahindi ya Kijani katika shamba la bibi mpaka kuharibika tabia na akili. Kafulila wa sasa ni Chawa pro max, hawezi tena kuzungumza hayo.
Poor Kafulila!
 
Kama uongozi wa walioko kaburini ni bora aende akakae humo

Sisi tunajua kazi yako ikiisha duniani unaenda kaburini

Sasa asitutamanishe kwenda kaburini aende kwanza ndio aanze kuongea kama anaweza

Tunamshukuru sana Mungu kwa uhai
 
Aliyasema haya wakati alipokuwa na akili yake timamu. Bahati mbaya ukienda CCM, sharti la kwanza ni lazima uache akili kwanza.

Ukimwuliza Kafulila leo hii juu ya hayo aliyoyasema, atayakana kabisa, kwa sababu yeye mwenyewe amewezeshwa.
NO, Mbona kayasema akiwa RC, Kafulila kunyooka ni tabia yake mama
 
Kama uongozi wa walioko kaburini ni bora aende akakae humo

Sisi tunajua kazi yako ikiisha duniani unaenda kaburini

Sasa asitutamanishe kwenda kaburini aende kwanza ndio aanze kuongea kama anaweza

Tunamshukuru sana Mungu kwa uhai
Wamesema huenda,elewa vizuri hiyo mada
 
Hata mademu wa zamani hawakuwa wanaomba pesa kama hawa GEN Z,khaaa
 
Wamesema huenda,elewa vizuri hiyo mada
Na mimi nimechangia kwa huenda hiyo hiyo.

Kama umeshaanza kuona mahala ni pazuri si uende?

Mnasema mahala pazuri mkipelekwa mnasema kwanini umeruhusu haya

Ridhika ulipo kwa wakati fulani
 
Kafulila anakitu Cha ziada hata ukimsikiliza utaelewa,
Kizazi hiki ni Cha watu mabinafsi sana
 
Na mimi nimechangia kwa huenda hiyo hiyo.

Kama umeshaanza kuona mahala ni pazuri si uende?

Mnasema mahala pazuri mkipelekwa mnasema kwanini umeruhusu haya

Ridhika ulipo kwa wakati fulani
Hata ukiogopa kufa utakufa tu
 
Jamaa atafika mbali sana huyu I predict
 
serikali tunakuja kwahiyo kijana kafulila tumkute pori gani akiwa ametangulia na shoka lake na jembe tumshike mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…