Mtanzania Tajiri
JF-Expert Member
- Aug 31, 2024
- 341
- 319
===
Akizungumza na Waheshimiwa madiwani wa Ilemela waliofika ofisini kwake kwaajili ya kujifunza mambo mbalimbali yahusuyo PPP kwenye kituo hicho cha PPPC Tanzània,
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho cha Ubia nchini Bw. David Kafulila amewaambia madiwani hao kuwa Serika inapata hasara kubwa karibu katika kila mwaka kwa sababu ya inefficiency ufanisi mdogo
Kafulila anasema duniani kote na Wala sio Tanzania tu Sekta binafsi ndio Sekta inayomiliki teknolojia ya kiwango cha juu zaidi ya Serikali ndio maana moja ya lengo la PPP ni kuvuta teknolojia toka kwa sekta binafsi.
Mkurugenzi Kafulila anaendelea kuwa kusema kwamba PPPC inavutia Wawekezaji kwa njia ya PPP ili kupata vitu vitatu muhimu,
|• Ilikupata Mtaji
||• Ilikupata teknolojia
|||• Ilikupata Ujuzi/Uzoefu
====