Kafulila: Kila mwaka Serikali inapata hasara kutokana na ufanisi mdogo. Sekta binafsi duniani inamiliki teknolojia kubwa kuliko Serikali

Umeongea point ya maana sana
 
Hii namkumbuka hata Prof Assad aliwahi kutahadharisha
 
Ni kweli kabisa kama tunahitaji kuchangamsha nchi, hatuna budi kukumbatia hiyo PPP.
 
Nalipenda hili neno ambalo ukiwambia watawala linawakera, 'unworking government machineries'
 
Mama Samia mitano tena
 
Hii PPP ifike na vijinini huko kama Mwanalumango Kuna fursa Kibao za PPP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…