Pre GE2025 Kafulila: Kwa mara ya kwanza chini ya Rais Samia Tanzania imefanyiwa Tathimini na International Credit Rating Agency na kuibuka Vinara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mnakopa eti kujenga madarasa na kulipa mishahara na matumizi mengine ya anasa. hiyo model ya uchumi Gani? bwana lucas
Serikali ya Jemedari wetu Rais Samia haijawahi kuchukua mkopo kwa ajili ya kulipa mishahara kwa watumishi wa umma. Kwa sababu makusanyo ya ndani tu yanatosha kulipa mishahara kwa watumishi wote wa umma kwa wakati kama ilivyo sasa. Kwa sababu tunakusanya kama nchi zaidi ya Trilioni mbili kwa Mwezi.
 
CCM mtaji wake mkubwa ni ujinga na ujinga bado ni tatizo kubwa sana Tanzania.

Credit Rating Agencies kukupa B+ ama B- mara nyingi haina uhusiano kabisa na hali ya ubora wa uchumi, hizi ni taasisi za Marekani ambazo mara nyingi zinategemea sera ama mtazamo wa uongozi wa Marekani juu ya hiyo nchi.

In fact, it has become commonplace to suggest that sovereign credit ratings do not always reflect the economic fundamentals in a realistic and sufficient manner. Accordingly, allegations of biased credit ratings towards certain countries have come to the forefront in recent discussions. In particular, bureaucrats and politicians from developing countries have been vocal in their disapproval of rating agencies. The European Commission President (Reuters, 2011), the Russian Finance Minister (The Telegraph, 2015), the Chinese Finance Minister (Bloomberg, 2016), the Turkish President (Reuters, 2016) and Indiaโ€™s chief economic advisor (The Times of India, 2017) have all alleged that the CRAs were biased against their home countries.

Kwa uhalisia kwa nchi kama Tanzania ama zinazoendelea, matokeo ya credit rating Sehemu kubwa hutegemea mtazamo serikali ya Marekani juu ya uongozi wa hiyo nchi husika.

Kama Marekani hufanyi wanayotaka hata uwe na uchumi mzuri vipi utakula negative tu.

Stori kama hizi kafulila akiziongea atafurahisha wajinga wengi. Najua Fitch walikua Tanzania wiki iliyopita. Tusubiri watasema nini (Bado ishu ya kuwahonga watoe rating nzuri).
 
Sahihi
 
Samia Jembe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ