Pre GE2025 Kafulila: Kwa mara ya kwanza chini ya Rais Samia Tanzania imefanyiwa Tathimini na International Credit Rating Agency na kuibuka Vinara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hongera sana ndg yangu Kafulila naona nia yako ni njema Mungu akupe tarajio la moyo wako,

Hakika unanisaidia CCM na Rais Samia na Serikali,

Unajibu hoja kwaakili na kwa staha sana,

Hakika Umebarikiwa sana ndg yangu.

Nafuatilia maandiko yako yote hata usiku huu,

#Ubarikiwe, Ubarikiwe Ubarikiwe X7
 
Ngoja tudeal na kukopa tu, walipaji watakuja karne zi jazo 😂 kuleni bata tu wajukuu wenu watalipa hayo madeni
 
Kazi iendelee Mama anaupigamwingi hata kama tunanuna ukweli ndio huo.
 
Hakika Mama anastahili pongezi
 
Bonge la interview
 
Mheshimiwa Kafulila ni mtu pekee anayeisemea na kuitetea vyema sana serikali ya Rais Samia kwa hoja nzito nzito. Ni wakati wake na muafaka wa yeye kuingia Bungeni.
 
hak
ika wapumbavu ni wengi sn,njaa mbaya sana
 
Mheshimiwa Kafulila ni mtu pekee anayeisemea na kuitetea vyema sana serikali ya Rais Samia kwa hoja nzito nzito. Ni wakati wake na muafaka wa yeye kuingia Bungeni.
Watu wenye mitazamo kama yako ni hatari sana kwenye hili taifa
 
Yote maisha ila msamaha lazima upite
Kwa kifupi ni kwamba wanapata manufaa makubwa sana kwenye hii nchi kuliko hata hiyo thamani ya mikopo tunayo pewa, umewahi kuona wapi mtu anamkopesha hela mtu ambaye hajalipa madeni, nchi inadaiwa lakini cha ajabu tunaendelea kukopeshwa tu, nikitu kisichowezekana kabisa lakini kwa nchi za Afrika hilo ni jambo simple sana
 
Kama tumekuwa vinara kuliko Nchi zingine kwanini Sasa hizo Nchi jirani hatuzifikii kiuchumi.
 
Kafulila ni fundi sana wa Midahalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…