Kafulila: Rais Mkapa alijutia kuiua PSRC Parastatal Sector Reform Commission, PPP haiuzi Mali za Umma bali inazilinda kwa kipindi chote cha mkataba

Sera ya ubinafsishaji wa mashirika pamoja na serikali kushirikiana na sekta binafsi kujenga mashirika mbalimbali limegusiwa kwenye dira ya taifa ya 2050. Jambo la serikali kushiriki moja kwa moja kwenye sekta binafsi linahitaji umakini wa hali ya juu na lisipofanywa vizuri linaweza kuleta maafa makubwa. Shirika la ndege la Air Tanzania, SGR, shirika la bima ya afya (NHIF) na mifuko ya pensheni ni mifano michache inayo onyesha kinachoweza kutokea kama serikali yenyewe ikiamua kufanya biashara. Utagundua kwamba utayari wa nguvu kazi kwenye mashirika haya kufanya kazi kwa weledi ni muhimu sana
 
Safi sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…