Kafulila: Tanzania kwa mara ya kwanza tunajenga barabara za kisiasa za kulipia 150km kutoka Kibaha Pwani-Morogoro bila Fedha ya Serikali

Kafulila ni msaada mkubwa kwa CCM
 
Samia mitano tena
 
Hizo toll road kwenye mataa na Zebra mnafanyaje?
 
Ni nadra sana kwa viongozi wa juu wa Serikali hii kutoa Majibu namna hii kwa wananchi,
Nampongeza Kafulila na viongozi wengine waingi utaratibu huu wa kutoa ufafanuzi
Huu ni utaratibu mzuri sana natamani ungefanywa na Serikali yote
 
Tanzania inahitaji akili tu resources zote zipo.
 
Mungu ibariki sana Tanzania
 
CCM OYEEEEE
 
Uchaguzi ukikaribia Maneno matamu Ni mengi sana
 
expand...
Hongera sana ndg yangu Kafulila naona nia yako ni njema Mungu akupe tarajio la moyo wako,

Hakika unanisaidia CCM na Rais Samia na Serikali,

Unajibu hoja kwaakili na kwa staha sana,

Hakika Umebarikiwa sana ndg yangu.

Nafuatilia maandiko yako yote hata usiku huu,

#Ubarikiwe, Ubarikiwe Ubarikiwe X7
 
Kafulila unafanya Kazi mzuri
 
Tanzania iko katika uelekeo sawia
 
Good plan, ni muhimu sana Taarifa hizi ziufikie umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…