Wenye private car nao wapande treni? Hebu shirikisha ubongo vizuri kabla ya kuandikaKwa hiyo treni ya mwendokasi,kazi yake itakuwa ni nini?
Nchi kwa upigaji hii!!!!
Acha papara soma vizuriBandari kavu ziko nyingi wewe unasemea ipi?
Nadhani kuna watu hawaelewi vizuri hiyo dhana ya mwendo kasiQ
Wenye private car nao wapande treni? Hebu shirikisha ubongo vizuri kabla ya kuandika
Ngoja tuoneManeno matupu hayavunji mfupa
Utaendelea ni swala la muda Mama Samia amedhamiria kuikomboa TanzaniaMimi nitashangilia nitakapoona kwa macho yangu ujenzi ukiendelea.
kwa hiyo wenye private ndio wasababishe nchi igharimikie tilioni ili kuwafurahisha wao.Q
Wenye private car nao wapande treni? Hebu shirikisha ubongo vizuri kabla ya kuandika
Duh,hivi nyie mazwazwa mnafikiri kuna cha bure kutoka kwa muzungu?Umeambiwa hizi barabara hazijengwi kwa pesa ya Serikali,
Sasa huko Mpanda barabara ya kulipia anatapita nani?
Kwanini unakimbilia kwa mzungu?Duh,hivi nyie mazwazwa mnafikiri kuna cha bure kutoka kwa muzungu?
Kina ChoiceVariable wakiona hii watalia sana.Debe tupu Kila siku tuna, tuta mpaka 2030
Kule akuwezi kukamilika kama viongozi awatokua serious,sabotage nyingi sana bongo,hata hiyo sgr kwenye kupeleka mizigo nchi jirani serikali ijipange kweli kweliHivi kule bandari kavu kwala bado hapajakamilika? Barabara ya zege ishakamilika,
Sabotage toka kwa nani?Kule akuwezi kukamilika kama viongozi awatokua serious,sabotage nyingi sana bongo,hata hiyo sgr kwenye kupeleka mizigo nchi jirani serikali ijipange kweli kweli
Popote utakapoitoa hiyo pesa unafikiri utapewa bila masharti.Kwanini unakimbilia kwa mzungu?
Umeambiwa ni Bure mkuu?Popote utakapoitoa hiyo pesa unafikiri utapewa bila masharti.
Muzungu ni fumbo tu,elewa hoja
Tuta, tuta ni nyingi sana.Debe tupu Kila siku tuna, tuta mpaka 2030
Kwa nini?Kina ChoiceVariable wakiona hii watalia sana.
Natamani Sana kuijua kwa undani hiyo mikataba ya ubia wanayotarajia kuingia Watu hawa. Kwa jinsi ninavyofahamu namna wa-Tanzania wengi zaidi walivyo na uelewa Mdogo sana kuhusisha na masuala haya ya UBIA Nina uhakika kwamba Watanzania tunaenda kuingizwa mkenge kwenye Mikataba hiyo. Ni lazima mikataba hiyo itakuwa na sura ya 'mikataba ya ki-Mangungo.'View attachment 2985383
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila amesema, mradi huu utatumia zaidi ya US$ 800 milioni karibu sawa na TZS 2.08Trilioni.
Mhe Mkurugenzi Kafulila amesema barabara zinazokwenda kujengwa zitakuwa ndio barabara Bora zaidi hapa nchi zitakazoishi mpaka miaka 35 bila kufanyiwa Ukarabati mkubwa.
Aidha, Mhe Kafulila amesema nia ni kupunguza msongamano wa magari na watu kati ya Dar-Morogoro-Dodoma ambapo Sasa yule anayehitaji kwenda kwa kasi itamlazimu alipie kiasi Fulani Cha pesa ili apite barabara ya Express.
Mhe Kafulila anaeleza kuwa Tanzania itafunga mkataba na mwekezaji huyo na baada ya mkataba kuisha barabara zitasalia kuwa mali za watoto wa Tanzania.
Kafulila anasema nia kubwa ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu ni Watanzania kupata huduma bora kwa gharama nafuu pasina kutumia Fedha ya Serikali.
===
Bila fedha ya serikali ana maana Gani? Kwamba umeoa unamuachia mkeo 5000 ya matumizi anajitokeza kidume anamuongeza 15000 anaenda kununua kuku mzima anapika Kisha ukirudi nyumbn unakula chakula unajiramba kabisa na kumsifia mkeo kwamba amepika chakula kizuri?View attachment 2985383
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila amesema, mradi huu utatumia zaidi ya US$ 800 milioni karibu sawa na TZS 2.08Trilioni.
Mhe Mkurugenzi Kafulila amesema barabara zinazokwenda kujengwa zitakuwa ndio barabara Bora zaidi hapa nchi zitakazoishi mpaka miaka 35 bila kufanyiwa Ukarabati mkubwa.
Aidha, Mhe Kafulila amesema nia ni kupunguza msongamano wa magari na watu kati ya Dar-Morogoro-Dodoma ambapo Sasa yule anayehitaji kwenda kwa kasi itamlazimu alipie kiasi Fulani Cha pesa ili apite barabara ya Express.
Mhe Kafulila anaeleza kuwa Tanzania itafunga mkataba na mwekezaji huyo na baada ya mkataba kuisha barabara zitasalia kuwa mali za watoto wa Tanzania.
Kafulila anasema nia kubwa ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu ni Watanzania kupata huduma bora kwa gharama nafuu pasina kutumia Fedha ya Serikali.
===
Kafulila ni hazina ya kesho kwa TaifaView attachment 2985383