Kafulila: Uchumi wa dunia ni US$ 105trilion 97% ni deni kukopa na kujenga ndio mpango mzima Duniani

Kafulila ni bonge la Kiongozi
 
Huyu dogo ni hazina sana kwa Taifa
 
Mzee tumbili tuambie je wewe binafsi umekopa kiasi gani na katika taasisi zipi?
 
Asante Cde Kafulila
 
Kafulila kwakweli unatutendea haki Watanzania
 
Nini kifanyike illi Mikopo na malengo yake viwiane?
 
Lucas anasemaje
Nadhani atabubujikwa na machozi kwa huu uzi
Mama ametufikia kwa utumishi wake
 
Kweli. Huyu jamaa amekuwa hopeless. Anasoma mitandao ya mabeberu kujibia hoja za Watanzania( third world country). Nataka afahamu benki na mashirika inayotoa mikopo anayosema ni mali za haohao wakopaji. Tofauti na sisi ni kuwa beberu anatoa mfuko wa kushoto anaingiza mfuko wa kulia. Wordl Bank na IMF mtaji wao mkubwa unatoka Marekani,hivyo ni kama wanajikopa kwa masharti wanayoyajua wao. Sisi tuna nini au benki gani hapa nchini tunayoweza kukeep change kama wao? Mifuko yetu ya NSSF NA PSSF tumeifilisi kwa ubunifu na akili za hovyo kama hizi. Lini ulisikia World Bank au IMF imefilisika kwa mabeberu kushindwa kulipa madeni?
Kigoma ni moja ya Mikoa masikini na ndiko anakotota jamaa. Angekuwa kweli ni mbunifu wa anachojaribu kuaminisha Watanzania angeanzia kwenye Mkoa wake.
 
Pia ajue wakati Vietnam wanachukua huo mkopo, riba zilikuwaje ukilinganisha na sasa. Je mipango yao ya vipaumbele kama nchi ilikuwa ni ipi? JE CCM ya kule na CCM ya hapa ni sawa kimaono na kiutendaji?
 
Pia ajue wakati Vietnam wanachukua huo mkopo, riba zilikuwaje ukilinganisha na sasa. Je mipango yao ya vipaumbele kama nchi ilikuwa ni ipi? JE CCM ya kule na CCM ya hapa ni sawa kimaono na kiutendaji?
Riba inakwenda na thamani ya pesa ya wakati huo
 
Kafulila
 
Kafulila nakubali sana
 
Kazi inaendelea vizuri sana chini ya Rais Samia Suluhu Hassan
 
Safi sana,Tanzania tuko vizuri sana
 
Safi sana Tanzania👏🏿👏🏿👏🏿
 
Ni sawa
 
Hopeless tena🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…