Kafululila kuhamia CUF?

Kafululila kuhamia CUF?

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
Habari zisizodhibitika zinasema Kafulila yuko mbioni kuhamia CUF! Je huu ni mwanzo wa ku-poach members kuelekea 2010?
 
Siyo mbaya ila CUF watafakari sana juu ya mtu huyu. Kama alikuwa CCM ndani ya chadema sidhani kama ataacha kuwa CCM ndani ya CUF.
Pia tukumbuke CHADEMA walimchukua Lwakatare!
 
Aende kwa amani, akumbuke kuwashauri CUF kwamba wao CUF ni kitu kimoja na CCM hawana jipya lolote.
 
Back
Top Bottom