Geza Ulole JF-Expert Member Joined Oct 31, 2009 Posts 65,136 Reaction score 91,917 Nov 18, 2009 #1 Habari zisizodhibitika zinasema Kafulila yuko mbioni kuhamia CUF! Je huu ni mwanzo wa ku-poach members kuelekea 2010?
Habari zisizodhibitika zinasema Kafulila yuko mbioni kuhamia CUF! Je huu ni mwanzo wa ku-poach members kuelekea 2010?
Kamakabuzi JF-Expert Member Joined Dec 3, 2007 Posts 2,903 Reaction score 1,360 Nov 18, 2009 #2 Siyo mbaya ila CUF watafakari sana juu ya mtu huyu. Kama alikuwa CCM ndani ya chadema sidhani kama ataacha kuwa CCM ndani ya CUF. Pia tukumbuke CHADEMA walimchukua Lwakatare!
Siyo mbaya ila CUF watafakari sana juu ya mtu huyu. Kama alikuwa CCM ndani ya chadema sidhani kama ataacha kuwa CCM ndani ya CUF. Pia tukumbuke CHADEMA walimchukua Lwakatare!
Ng'wanza Madaso JF-Expert Member Joined Oct 21, 2008 Posts 2,268 Reaction score 335 Nov 18, 2009 #3 Aende kwa amani, akumbuke kuwashauri CUF kwamba wao CUF ni kitu kimoja na CCM hawana jipya lolote.
Tumain JF-Expert Member Joined Jun 28, 2009 Posts 3,154 Reaction score 71 Nov 18, 2009 #4 Ng'wanza Madaso said: Aende kwa amani, akumbuke kuwashauri CUF kwamba wao CUF ni kitu kimoja na CCM hawana jipya lolote. Click to expand... Mhhhhhhhhhhh..ushabiki mwingine bana..CUF wawe sawa na CCM wapi na wapi? a
Ng'wanza Madaso said: Aende kwa amani, akumbuke kuwashauri CUF kwamba wao CUF ni kitu kimoja na CCM hawana jipya lolote. Click to expand... Mhhhhhhhhhhh..ushabiki mwingine bana..CUF wawe sawa na CCM wapi na wapi? a