Kagame aitaka SADC ikae mbali na DRC

Wawakamate hao M23 kisha wawa ingize kwenye jeshi la Taifa.

Kama ni Raia wasiachwe wakaranda randa maporini. Kagame akae kimya kama hawasaidii M23 inamuumiza nini wanapopigwa?

Kila siku anakana ahusiki nao hao M23, lakini anaumia wanapopigwa.
 
msiilinganishe rwanda na israel. Rwanda itanyukwa tu sema inaonewa huruma kutokana na ile kimbari yao. SADC ongeza na EAC wakiingia mzigoni rwanda itaponea wapi?
Kagame is right, hata SADC chairman amesema same thing kama mnajua kusoma, ukweli ni Congo government inapigana na wananchi wake, EAC hawawezi kuingia huko labda Tanzania wasiojielewa lakini Kenya au Uganda forget about it
 
But once upon time kenya went there alienda kishangaa madini ? We vipi bhana . Sema uganda underground snitch against mshirika wa kagame ndo hawezi ila kenya na Tanzania hawana personal interest
 
Muda umefika kwa Kagame kushikishwa adabu sasa, kaua sana watu.
Kagame ndio anapigana Congo? Ignorant Africans wanashindwa hata kuelewa nani anapigana na kwa sababu gani? wengi humu ni ushabiki tuu bila kuelewa na wakabila, acha M23 awanyooshe aiweke Congo vizuri, Congolese wamechoka na akili za kina Mobutu na wahutu wenye siasa kali
 
Kagame is a parasite kwenye Great Lakes, he has to fucking go.
 
Muda umefika huyu Kagame akamatwe na kushughulikiwa without mercy, he's a parasite in our region. His time Is been up.
 
Mbona kaeleza vizuri tu, parasite = Kagame au wewe ndiyo huelewi?

Muda umefika huyu Kagame akamatwe na kushughulikiwa without mercy, he's a parasite in our region. His time Is been up.
Kagame hapigani Congo, mbona mnashindwa kuelewa kitu kidogo kama hicho, kamateni M23 kama mnaweza , bahati mbaya ignorant mkabila Tshesekedi kishashindwa vita M23 wanachukua nchi
 
Kagame hapigani Congo, mbona mnashindwa kuelewa kitu kidogo kama hicho, kamateni M23 kama mnaweza , bahati mbaya ignorant mkabila Tshesekedi kishashindwa vita M23 wanachukua nchi
Kagame hapigani vipi Congo ? Mwaka 2012 alipopigwa na Jakaya kule Congo kwanini akilalamika ? Yeye anaisemea Congo na kuikemea SADC kama nani hapo Congo ? Ni msemaji wa DRC ? Iko wazi tu. I wish I could be a president of DRC or Tanzania. Ningemnyoosha huyo mwehu. Na dawa yake ni kuipiga Kigali naye atumie.
 
Kagame hapigani Congo, mbona mnashindwa kuelewa kitu kidogo kama hicho, kamateni M23 kama mnaweza , bahati mbaya ignorant mkabila Tshesekedi kishashindwa vita M23 wanachukua nchi
Hapigani directly ila ana support jeshi la waasi la kutaka kuipindua Congo, umeshaelewa?
 
Hujagundua kuna watutsi wamejazana JF kuleta propaganda za kumtetea Kagame ?
Najuwa, na usikute anayepinga ni mwanajeshi wa jeshi la Rwanda kakasirika siri yao kugundulika. Hakuna mtu asiyejuwa hili, Rwanda ipo pale Congo kuiba rasilimali na kujenga nchi yao na ndiyo maana wana destabilize Eastern RDC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…