Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Leo na kesho naambiwa kuna mkutano WA Maraisi wa Congo na Rwanda na SADC na EAC
Huyu Bwana akikanyaga Tanzania mwambien tunalaan yote yanayoendelea congo na WANAJESHI wake WA M23
Na Wala msipotexe mda mwambien aondoe wale wahuni MAGAIDI WA M23
Soma: Rais Samia kuwa mwenyeji wa mkutano wa marais wa nchi za SADC na EAC kujadili Mgogoro wa DR Congo
Akigoma tuwaondoe kwa nguvu zote
Hawa mnawachekea mnajadiliana nao kuna siku mtawakuta wanapambana kuingia Kenya ugandaaaa
Anyway kila la kheri anachokitafuta naamini atakipata