Leo na kesho naambiwa kuna mkutano WA Maraisi WA congo na Rwanda na SADC na EAC
Huyu Bwana akikanyaga Tanzania mwambien tunalaan yote yanayoendelea congo na WANAJESHI wake WA M23
Na Wala msipotexe mda mwambien aondoe wale wahuni MAGAIDI WA M23
Akigoma tuwaondoe kwa nguvu zote
Hawa mnawachekea mnajadiliana NAOO KUNA siku mtawakuta wanapambana kuingia Kenya ugandaaaa
Anyway kila la kheri...anachokitafuta naamini atakipata