Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
Z

Michuano hiyo itaanza kutimua vumbi Julai 18 hadi Agosti 2 jijini Dar es Salaam na Mabingwa wa Tanzania, Yanga wamepangwa Kundi A lenye timu za Gor Mahia ya Kenya, Kharthoum ya Sudan, Telecom ya Djibout na KMKM ya Zanzibar.

Wawakilishi wengine wa Tanzania, Azam FC wao wako kundi C lenye timu za Malaika ya Sudan Kusini, KCC ya Uganda na Adama City ya Ethiopia.

Kundi- A:
Yanga ( Tanzania), Gor Mahia ( Kenya), Khartoum (Sudan), Telecom ( Djibout), KMKM ( Zanzibar ).

Kundi B:
-Cecafa Kagame Cup : APR ( Rwanda) , Al Shandy ( Sudan), LLB ( Burundi), Elman ( Somalia)

Kundi C:-
Azam (Tanzania), Malakia (Sudan Kusini), KCC ( Uganda), Adama City ( Ethiopia)

===================
===================

Bingwa ni AZAM FC kutoka jijini Dar es Salaam!

11053691_1007305249309831_7217873136326707731_n.jpg

Inaweza kuwa nzuri maana timu za mchangani hazipo!

Argue, do not shout!
 
Inaweza kuwa nzuri maana timu za mchangani hazipo!

Argue, do not shout!

Yeah, jana alisikika mropokaji wa wamchangani akijinasibu kuwa waliomba kushuriki kagame cup ili wapambane na Yanga. Kama kawaida yao efforts zao ni kumfunga Yanga tu.
 
Yeah, jana alisikika mropokaji wa wamchangani akijinasibu kuwa waliomba kushuriki kagame cup ili wapambane na Yanga. Kama kawaida yao efforts zao ni kumfunga Yanga tu.

Uzuri hata kwenye ligi wakishamfunga Yanga ndiyo ligi imeisha kwao. Sasa hivi bora wawe wa tatu au nne kwenye ligi lakini wamfunge Yanga kuliko washike usukani lakin i wafungwe na Yanga. Akili ni nywele kila mtu ana zake.
 
Vipi ! Mkia mbona simuoni kwenye hiyo ratiba?
 
Michuano inaanza mnamo tar 18/07/2015

Kundi- A:
▶Yanga ( Tanzania),
▶Gor Mahia ( Kenya),
▶Khartoum (Sudan),
▶Telecom ( Djibout),
▶KMKM ( Zanzibar ).

Kundi B:
▶APR ( Rwanda) ,
▶Al Shandy ( Sudan),
▶LLB ( Burundi),
▶Elman ( Somalia)

Kundi C:-
▶Azam (Tanzania),
▶Malakia (Sudan Kusini),
▶KCC ( Uganda),
▶Adama City ( Ethiopia)

---------------------
cecafa.jpgcecafa.jpg

Tar 18.7.2015
KMKM vs TELECOM
APR- vs- SHANDY
YANGA vs GOR MAHIA

Sun.19.7-2015

LLB AFC vs HEGAAN FC
ADAMA CITY vs MALAIKA
AZAM- vs KCCA

Mon. 20.7.2015

TELECOM vs KHARTOUM-N
GOR MAHIA vs KMKM-

Tue.21.7.2015

SHANDY vs LLB AFC
HEGAAN vs -APR
Malaika vs Azam

Wed.22.7.2015

KHARTOUM vs KMKM
KCCA vs ADAMA City
TELECOM vs YANGA

Thur.23.7.2015

HEGAAN vs SHANDY
APR vs LLB- AFC

Fri.24.7.2015

KHARRTOUM-N vs GOR MAHIA
KMKM- vs YANGA

SAT.25.7.2015

KCCA vs MALAKIA
ADAMA CITY vs AZAM

Sun.26.7.2015
GOR MAHIA vs TELECOM
YANGA vs KHARTOUM-N

Mon. 27. 7. 2015 Rest day

-Tue. 28.7.2015-Quarter-Final

B1 vs A3
A1 vs Best Qualifier

Wed. 29.7.2015

B2 vs C2
C1 vs A2

Thu. 29.7.2015 Rest Day

Fri. 31.7.2015- Semi finals

Winner 25 vs Winner 26
Winner 23 vs Winner 24

Sat.1.8.2015-Rest Day

Sun.2-8-2015- Final & 3rd Place Player

Loser 27 vs Loser 28
Winner 27 vs Winner 28
 
Kumbe kagame mwaka huu ipo sikusikia shamrashamra sababu mwenye kombe lake hayupo ila kiukweli imepoa sana kweli VPL bila MNYAMA hakuna ligi ila utumbo
 
hivi wajameni ningependa kujuzwa Nijuavyo mie ni kwamba CECAFA inaitambua Zanzibar kama nchi na kama tulivyoona kule Rwanda mwaka jana Mwenyeji hutoa timu tatu sasa Iweje Mbeya city hawashiriki?....
 
hivi wajameni ningependa kujuzwa Nijuavyo mie ni kwamba CECAFA inaitambua Zanzibar kama nchi na kama tulivyoona kule Rwanda mwaka jana Mwenyeji hutoa timu tatu sasa Iweje Mbeya city hawashiriki?....

mbeya city wamejitoa kijanja kwa kisingizio muda hautoshi na hawajapata barua kutoka cecafa.
 
Kumbe kagame mwaka huu ipo sikusikia shamrashamra sababu mwenye kombe lake hayupo ila kiukweli imepoa sana kweli VPL bila MNYAMA hakuna ligi ila utumbo

Hii hapa ratiba ya "DR YEAR NDONDO CUP"

SIMBA SC V/S KUTIANA FC-9.7.2015
WAKUNYUMBA V/S SIMBA SC-11.7.2015.
SIMBA SC V/S WAUZA MKAA FC-13.7.2015
GONGA FC V/S SIMBA SC-15.7.2015.
hiyo ni ratiba niliyoipata kwa mr dr year pale BUNGONI ILALA na bingwa atajizolea kitita cha tshs 500,000 cash!!!!!
 
Hii timu nayo shida majina kila siku mara LIBOLO FC mara WAMCIANGANI na mengine kibao,
shida tupu.
 
Bila shaka Sudan kuna nchi mbili pia kama sikosei(NORTH SUDAN na SOUTH SUDAN)
Umekosea Mkuu sudan kusini imewakilishwa na Malaika wakati Sudan (ambayo ndiyo Sudan Kaskazini) imewakilishwa na Al ahly Shandy pamoja na Khartoum....Angalia vizuri hayo Makundi
 
Mwaka huu ni ''Kagame Cup'', mwaka jana lilikuwa linaitwa ''Musonye Bonanza Cup''.

Kweli duniani kuna mambo!!
 
Jamaa wanatisha sana ...eti mgosi ndani alafu kocha analalama eti wachezaji wake pumzi inakata, makubwa haya!
 
Kumbe kagame mwaka huu ipo sikusikia shamrashamra sababu mwenye kombe lake hayupo ila kiukweli imepoa sana kweli VPL bila MNYAMA hakuna ligi ila utumbo

kama hujaskia kivyako2, na mwenye kombe nan kati ya Yanga na Simba yupi anaongoza kwa kuchukua mara nyingi?
 
Hii hapa ratiba ya "DR YEAR NDONDO CUP"

SIMBA SC V/S KUTIANA FC-9.7.2015
WAKUNYUMBA V/S SIMBA SC-11.7.2015.
SIMBA SC V/S WAUZA MKAA FC-13.7.2015
GONGA FC V/S SIMBA SC-15.7.2015.
hiyo ni ratiba niliyoipata kwa mr dr year pale BUNGONI ILALA na bingwa atajizolea kitita cha tshs 500,000 cash!!!!!

huhuuuu!
 
Back
Top Bottom