Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 5,986
Michuano hiyo itaanza kutimua vumbi Julai 18 hadi Agosti 2 jijini Dar es Salaam na Mabingwa wa Tanzania, Yanga wamepangwa Kundi A lenye timu za Gor Mahia ya Kenya, Kharthoum ya Sudan, Telecom ya Djibout na KMKM ya Zanzibar.
Wawakilishi wengine wa Tanzania, Azam FC wao wako kundi C lenye timu za Malaika ya Sudan Kusini, KCC ya Uganda na Adama City ya Ethiopia.
Kundi- A:
Yanga ( Tanzania), Gor Mahia ( Kenya), Khartoum (Sudan), Telecom ( Djibout), KMKM ( Zanzibar ).
Kundi B:
-Cecafa Kagame Cup : APR ( Rwanda) , Al Shandy ( Sudan), LLB ( Burundi), Elman ( Somalia)
Kundi C:-
Azam (Tanzania), Malakia (Sudan Kusini), KCC ( Uganda), Adama City ( Ethiopia)
===================
===================
Bingwa ni AZAM FC kutoka jijini Dar es Salaam!