Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Mikia Fans wanashangilia hapa uwanjani kama vile Khartoum ni Timu ya Msimbazi
 
17' Mins | Yanga 0 Khartoum

Kona pacha tunapata hazina matunda yoyote.

Kipa wa Khartoum yupo chini hapa. Ni dalili anapoza mchezo
 
Oscar joshua anacheza fyongo hapa. Mwili mkubwa anatoa faulo bila sababu.
 
Mikia Fans wanashangilia hapa uwanjani kama vile Khartoum ni Timu ya Msimbazi


By the way! Sala zangu ni tusije kukutana na AZAM FC. Hivyo basi nafasi ya Tatu 3 inatutosha sana.

Nahitaji hii mechi tufungwe au tutoke sare, ili tukutane na APR.
HII ITASAIDIA SANA ILI TIMU ZA TANZANIA ZOTE ZIBAKI KATIKA MICHUANO HII.


 
Yondani leo anaweza kuwa man of the match. Kaokoa dude hilo jamaa angepiga ingekuwa goli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…