Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Azam wameshindwa kununua hizi mechi?
 
musonye tunakuliza wewe na cecafa mmeleta maendeleo gani kwa mpira wa miguu kwa afrika mashariki sio unatuletea hadithi ya maendeleo wa michezo kwa michezo mingine nao wabovu kama wewe na cecafa yako.
na caf inawapa dola laki mbili kwa mwaka tupe maelezo ya hizo hela
 
Leo ndo Leo Uwanja mkuu wa taifa uliopo Dar Es Salaam, wale mabingwa wa Vodacom Premier League Young Africans Sports Club Watakipiga na timu ya Gor Mahia kutoka Kenya katika kombe la kagame, mchezo ambao unatarajiwa kutoa mwonekano wa timu ya Yanga baada ya usajili wao.

Katika mchezo huo timu zote zinaonekana kuwa ni bora hasa ukiangalia takwimu zao kwenye msimamo wa ligi zao.

Yanga imemaliza msimu katika ligi kuu ya Tanzania ikiwa nafasi ya kwanza ambapo ilifanikiwa kuvuna jumla ya pointi 55, katika michezo 26 iliyocheza imeshinda michezo 17, imefungwa michezo 5 na kutoa sare 4.
Wakati huo wapinzani wao Gor Mahia wanaongoza ligi nchini kenya wakiwa wamecheza mechi 18, wameshinda14, draw 4, na hawajapoteza mechi hata moja.
Hivyo, kwa takwimu hizo inaonyesha kuwa leo tutashuhudia kandanda safi na la kikubwa.
kila la kheri "Yanga"
Usikae mbali na jukwaa kwa updates za dakika 90 za mchezo huo.
 
Tv gani itarusha mchezo huo, mechi itaanza saa ngapi?
 
Samsung, LG, Singsung, Sony etc zinarusha lakini station bado sijajua mkuu í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚

Dah hizi bhaaaange!!!!!!!!!!
 
Samsung, LG, Singsung, Sony etc zinarusha lakini station bado sijajua mkuu í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚

Daaah ..hii ni hatari kwa ustawi wa afya ya akili
 
Hamna la maana walilolifanya kukuza uu mchezo wa mpira. Wao ni waongeaji ila ku take action ni zero kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…